Philippians 2:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo ndiyo sababu Mungu alimpa mahali pa heshima sana, na akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo naye Mungu alimkweza mbinguni, akampatia Jina lililo kuu kuliko majina yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Mungu naye akamwinua juu zaidi, akamupa jina lenye ukubwa kuliko majina yote,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo tena Mungu akamtukuza mno, akamkarimia Jina lile lipitalo killa jina;