Philippians 3:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikitumaini kwamba nami pia nitafufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kwa njia yoyote niweze kufikia ufufuo wa wafu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili nipate kwa njia yo yote kuifikia kiyama ya wafu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mimi mwenyewe naweza kuwa na matumaini kwamba nitafufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nikitumaini kwamba nami pia nitafufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikitumaini kwamba nami pia nitafufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwa njia yo yote niweze kufikia ufufuo wa wafu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwa njia yoyote niweze kufikia ufufuo wa wafu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili nipate kwa njia yoyote kuufikia ufufuo wa wafu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikitumaini kwamba nami pia nitafufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nipate kufika kwenye ufufuko katika wafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili nipate kwa njia yo yote kuifikia kiyama ya wafu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nipate hivi tumaini kwamba nitafufuka vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi nipate kwa njia yo yote kuifikia kiyama ya wafu.