Philippians 3:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, hapo tulipofika na tuenende katika lilo hilo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini tunapaswa kuendelea kuifuata kweli tuliyonayo tayari.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, hapo tulipofika na twenende katika lilo hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwanza: hapo, tulipofikia, sharti tupaendelee papo hapo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, hapo tulipofika na tuenende katika lilo hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa hayo yote, basi tuendelee mbele tokea kwenye hatua ile tumekwisha kufikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Illakini, hapo tulipofika na tuenende kwa kanuni ile ile.