Philippians 3:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa, watu wanaosisitiza kujikata mwilini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jihadharini na mbwa, wale watenda maovu, jihadharini na wale wajikatao miili yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mjihadhari na mbwa, mjihadhari na wafanyakazi waovu, mjihadhari na watu wanaotaka kumkata kila mtu ambaye hajatahiriwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa, watu wanaosisitiza kujikata mwilini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa, watu wanaosisitiza kujikata mwilini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jihadharini na mbwa, wale watenda maovu, jihadharini na wale wajikatao miili yao, wasemao ili kuokoka ni lazima kutahiriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jihadharini na mbwa, wale watenda maovu, jihadharini na wale wajikatao miili yao, wasemao ili kuokoka ni lazima kutahiriwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa, watu wanaosisitiza kujikata mwilini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiangalieni mbwa! Jiangalieni watenda kazi waovu! Jiangalieni nao wanaojikatakata tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufanye angalisho na watenda maovu, wale imbwa wanaotia mukazo juu ya kushika tu desturi ya kutahiriwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Jihadharini na mbwa, jihadharini nao watendao mabaya, jihadharini nao wajikatao.