Philippians 3:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi pia ningeweza kuyathamini hayo mambo ya nje; na kama yupo mtu anayefikiri kwamba anaweza kuyathamini hayo mambo ya nje, mimi ninayo sababu kubwa zaidi ya kufikiri hivyo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ingawa mimi mwenyewe ninazo sababu za kuutumainia mwili. Kama mtu yeyote akidhani anazo sababu za kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili. Mtu ye yote akijiona kuwa anayo sababu ya kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hata kama ninaweza kujitumainisha mimi mwenyewe, bado sifanyi hivyo. Ikiwa kuna watu wanadhani wana sababu za kutumaini sifa za kibinadamu, wanapaswa kujua kuwa nina sababu zaidi za kufanya hivyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mimi pia ningeweza kuyathamini hayo mambo ya nje; na kama yupo mtu anayefikiri kwamba anaweza kuyathamini hayo mambo ya nje, mimi ninayo sababu kubwa zaidi ya kufikiri hivyo:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi pia ningeweza kuyathamini hayo mambo ya nje; na kama yupo mtu anayefikiri kwamba anaweza kuyathamini hayo mambo ya nje, mimi ninayo sababu kubwa zaidi ya kufikiri hivyo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa mimi mwenyewe ninazo sababu za kuutumainia mwili. Kama mtu ye yote akidhani anazo sababu za kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ingawa mimi mwenyewe ninazo sababu za kuutumainia mwili. Kama mtu yeyote akidhani anazo sababu za kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi ningeweza kuutumainia mwili. Mtu yeyote akijiona kuwa anayo sababu ya kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi pia ningeweza kuyathamini hayo mambo ya nje; na kama yupo mtu anayefikiri kwamba anaweza kuyathamini hayo mambo ya nje, mimi ninayo sababu kubwa zaidi ya kufikiri hivyo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata mimi kama ningetaka, ningeweza kujishikizia mambo ya mwili, mtu mwingine akijiwazia kuwa na sababu ya kujishikizia mambo ya mwili, mimi namshinda:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili. Mtu ye yote akijiona kuwa anayo sababu ya kuutumainia mwili, mimi zaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi vilevile niko na haki ya kuweka tumaini katika mambo ya kimwili. Kama kuna mutu anayejizania kuwa na sababu ya kutumainia mambo ya kimwili, mimi ninamupita.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu ye yote akijiona anayo sababu ya kuutumainia mwili, mimi zaidi.