Philippians 3:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na nilikuwa na bidii sana hata nikalidhulumu kanisa. Kuhusu uadilifu unaopatikana kwa kuitii sheria, mimi nilikuwa bila hatia yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa habari ya juhudi, nilikuwa nikitesa jumuiya ya waumini, kuhusu haki inayopatikana kwa Torati, sikuwa na hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi Kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilikuwa na hamu sana ya kumridhisha Mungu hata nikalitesa kanisa. Kwa usahihi niliitii sheria ya Musa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na nilikuwa na bidii sana hata nikalidhulumu kanisa. Kuhusu uadilifu unaopatikana kwa kuitii sheria, mimi nilikuwa bila hatia yoyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na nilikuwa na bidii sana hata nikalidhulumu kanisa. Kuhusu uadilifu unaopatikana kwa kuitii sheria, mimi nilikuwa bila hatia yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa habari ya juhudi, nilikuwa nalitesa kanisa, kuhusu haki ipatikanayo kwa sheria, mimi nilikuwa sina hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa habari ya juhudi, nilikuwa naitesa jumuiya ya waumini, kuhusu haki ipatikanayo kwa sheria, mimi nilikuwa sina hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na nilikuwa na bidii sana hata nikalidhulumu kanisa. Kuhusu uadilifu unaopatikana kwa kuitii sheria, mimi nilikuwa bila hatia yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikajipingia kuwafukuza wateule; hivyo ndivyo, nilivyoutimiza wongofu unaotakwa katika Maonyo, mtu asione la kunionya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi Kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nilikuwa na bidii sana hata nilitesa kanisa. Kuelekea mambo ya kuhesabiwa kwa njia ya kushika Sheria, mimi sikupatikana na kosa lo lote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa jinsi ya haki ipatikanayo kwa sharia sikuwa na khatiya.