Philippians 4:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naweza kuikabili kila hali kwani Kristo hunipa nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kristo ndiye anayenitia nguvu kuyakabili mazingira yote katika maisha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naweza kuikabili kila hali kwani Kristo hunipa nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naweza kuikabili kila hali kwani Kristo hunipa nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naweza kuikabili kila hali kwani Kristo hunipa nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayaweza yote kwa nguvu yake yeye anayenitia nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaweza vyote kwa njia ya Kristo anayenitia nguvu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu.