Philippians 4:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mlifanya vyema mliposhiriki nami katika kipindi changu kigumu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mmefanya vizuri mlipojitoa, mwe wenzangu wa maumivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, mumefanya vizuri kwa kushirikiana pamoja nami katika taabu yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini mlifanya vema sana, mkishiriki nami mateso yangu.