Philippians 4:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilipokuwa nahitaji msaada kule Thesalonike mliniletea, tena zaidi ya mara moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana hata nilipokuwa huko Thesalonike, mliniletea msaada kwa ajili ya mahitaji yangu zaidi ya mara moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa hata huko Thesalonike mliniletea msaada kwa mahitaji yangu, wala si mara moja.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ukweli ni kuwa hata nilipokuwa Thesalonike, zaidi ya mara moja mlinitumia kila kitu nilichohitaji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilipokuwa nahitaji msaada kule Thesalonike mliniletea, tena zaidi ya mara moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilipokuwa nahitaji msaada kule Thesalonike mliniletea, tena zaidi ya mara moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hata nilipokuwa huko Thesalonike, mliniletea msaada kwa ajili ya mahitaji yangu zaidi ya mara moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana hata nilipokuwa huko Thesalonike, mliniletea msaada kwa ajili ya mahitaji yangu zaidi ya mara moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa hata huko Thesalonike mliniletea msaada kwa mahitaji yangu, wala si mara moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilipokuwa nahitaji msaada kule Thesalonike mliniletea, tena zaidi ya mara moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata nilipokuwa Tesalonike, mmetuma mara ya kwanza na mara ya pili, mkanipa vya kunitunza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa hata huko Thesalonike mliniletea msaada kwa mahitaji yangu, wala si mara moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wakati wote nilipokuwa Tesalonika, mulinitumia musaada mara nyingi juu ya mahitaji yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa hatta katika Tʼhessaloniki mliniletea msaada kwa mahitaji yangu wala si marra moja tu.