Philippians 4:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Si kwamba natafuta sana yale matoleo, bali natafuta sana ile faida itakayozidi sana kwa upande wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Si kwamba nakitamani kile kipawa, bali nayatamani mazao yanayozidi kuwa mengi, katika hesabu yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Si kwamba natafuta msaada wa kifedha kutoka kwenu. Bali ninataka ninyi mpokee manufaa yanayozidi kukua yanayotokana na kutoa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Si kwamba natafuta sana yale matoleo, bali natafuta sana ile faida itakayozidi sana kwa upande wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Si kwamba natafuta sana yale matoleo, bali natafuta sana ile faida itakayozidi sana kwa upande wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Si kwamba nakitamani kile kipawa, bali nayatamani mazao yanayozidi kuwa mengi, katika hesabu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sio kwamba napenda tu kupokea zawadi; ninachotaka ni faida iongezwe katika hazina yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sivisemi hivyo kwa maana, nayatafuta matunzo, ila nayatafuta matunda kwamba: Mapato yenu yaongezeke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Si kwamba nakitamani kile kipawa, bali nayatamani mazao yanayozidi kuwa mengi, katika hesabu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sitaki kusema kwamba ninatafuta tu kupokea zawadi, lakini ninataka faida iongezwe kwa upande wenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)