Philippians 4:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Namsihi Euodia, namsihi na Sintike, wawe na nia moja katika Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawasihi Euodia na Sintike, ninyi nyote wawili ni wa Bwana, hivyo muwe na mtazamo mmoja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Namsihi Euodia, namsihi na Sintike, wawe na nia moja katika Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Euodia na Suntike, nawaombeni na kuwasihi mpatane kama ndugu katika Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namwonya Ewodia, naye Sintike namwonya, wapatane kwa kuwa wake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Namsihi Euodia, namsihi na Sintike, wawe na nia moja katika Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakusihi wewe Ewodia na wewe Sintike, muishi katika masikilizano mbele ya Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Namsihi Euodia, namsibi na Suntoke, wawe na nia moja katika Bwana.