Philippians 4:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu uwe kwa Mungu wetu na Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa atukuzwe Mungu, Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Utukufu kwa Mungu na Baba yetu milele na milele. Amina.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Utukufu uwe kwa Mungu wetu na Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu uwe kwa Mungu wetu na Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa atukuzwe Mungu, Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu uwe kwa Mungu wetu na Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye Mungu aliye Baba yetu atukuzwe kale na kale pasipo mwisho! Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa atukuzwe Mungu, Baba yetu, milele na milele. Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu Baba yetu atukuzwe kwa milele na milele. Amina.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Sasa Mungu, Baba yetu, atukuzwe milele na milele. Amin.