Philippians 4:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawasalimu watu wote wa Mungu walio wake Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami hapa wanawasalimuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msalimuni kila mtakatifu katika Al-Masihi Isa. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wawasalimu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wasalimuni watakatifu wote wa Mungu walio wake Kristo Yesu. Wale walio katika familia ya Mungu walio pamoja nami wanawasalimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawasalimu watu wote wa Mungu walio wake Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami hapa wanawasalimuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawasalimu watu wote wa Mungu walio wake Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami hapa wanawasalimuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msalimuni kila mtakatifu katika Al-Masihi Isa. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawasalimu watu wote wa Mungu walio wake Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami hapa wanawasalimuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisalimieni kila mtakatifu aliye wake Kristo Yesu! Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wawasalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musalimie watu wote wa Mungu wanaomwamini Yesu Kristo. Wandugu wanaokuwa pamoja nami wanawasalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mnisalimie killa mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wawasalimu.