Philippians 4:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana Isa yu karibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mtu auone wema na uvumilivu wenu. Bwana yu karibu kuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana Isa yu karibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yuko karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utu wenu ujulikane kwao watu wote! Bwana yuko karibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muonyeshe upole wenu kwa watu wote, kwa maana Bwana yuko karibu kurudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Upole wenu ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.