Proverbs 1:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakisema: “Twende tukamvizie mtu na kumuua; njoo tukawashambulie wasio na hatia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakisema, Haya! Njoo pamoja nasi, Na tuvizie ili kumwaga damu; Tumwotee asiye na hatia, bila sababu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakisema: “Twende tukamvizie mtu na kumuua; njoo tukawashambulie wasio na hatia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wakisema, “Twende tufuatane, tukamvizie mtu na kumwaga damu. Njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakisema, Haya! Njoo pamoja nasi, Na tuvizie ili kumwaga damu; Tumwotee asiye na hatia, bila sababu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakisema: “Twende tukamvizie mtu na kumuua; njoo tukawashambulie wasio na hatia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakikuambia: Twende pamoja, tuvizie kumwaga damu, tena tumwotee bure asiyekosa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakisema, Haya! Njoo pamoja nasi, Na tuvizie ili kumwaga damu; Tumwotee asiye na hatia, bila sababu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakisema: “Twende kuvizia mutu na kumwua; kuja tuwashambulie wasiokuwa na kosa!