Proverbs 1:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tutawameza kama Kuzimu wakiwa hai, watakuwa kama wale washukao Shimoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, kama wao washukao shimoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tutawameza kama Kuzimu wakiwa hai, watakuwa kama wale washukao Shimoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, kama wao washukao shimoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tutawameza kama Kuzimu wakiwa hai, watakuwa kama wale washukao Shimoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama kuzimu tuwameze, wakingali wa hai, wao wamchao Mungu wawe kama wengine washukao shimoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, kama wao washukao shimoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutawameza wakiwa wazima kama kuzimu, watakuwa kama wale wanaoshuka katika shimo.