Proverbs 1:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tutajitwalia mali zote za thamani, nyumba zetu tutazijaza nyara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tutapata mali yote ya thamani, Tutazijaza nyumba zetu mateka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tutajitwalia mali zote za thamani, nyumba zetu tutazijaza nyara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tutapata mali yote ya thamani, Tutazijaza nyumba zetu mateka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tutajitwalia mali zote za thamani, nyumba zetu tutazijaza nyara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tuzipate mali zao zote zenye kima, tuzijaze nyumba zetu mateka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tutapata mali yote ya thamani, Tutazijaza nyumba zetu mateka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutajitwalia mali zote za bei kali, tutazijaza nyumba zetu vitu tulivyonyanganya.