Proverbs 1:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoo ushirikiane nasi, vyote tutakavyopata tutagawana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe utashirikiana nasi; Tutakuwa na vitu vyote shirika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoo ushirikiane nasi, vyote tutakavyopata tutagawana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe utashirikiana nasi; Tutakuwa na vitu vyote shirika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoo ushirikiane nasi, vyote tutakavyopata tutagawana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha nawe utapiga kura pamoja nasi, sisi sote pia tutakuwa bia moja tu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe utashirikiana nasi; Tutakuwa na vitu vyote shirika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuja na ushirikiane nasi, vyote tutakavyopata tutagawanyana.”