Proverbs 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe mwanangu usiandamane nao, uzuie mguu wako usifuatane nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanangu, usiandamane nao. Usiweke mguu wako katika njia zao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, usiende njiani pamoja nao; Uzuie mguu wako usiende katika mapito yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe mwanangu usiandamane nao, uzuie mguu wako usifuatane nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwanangu, usiandamane nao. Usiweke mguu wako katika njia zao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanangu, usiandamane nao. Usiweke mguu wako katika njia zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, usiende njiani pamoja nao; Uzuie mguu wako usiende katika mapito yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe mwanangu usiandamane nao, uzuie mguu wako usifuatane nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mwanangu, hao usishike njia moja nao, uzuie mguu wako, usikanyage mikondo yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, usiende njiani pamoja nao; Uzuie mguu wako usiende katika mapito yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwana wangu usiandamane nao, uzuie muguu wako usifuatane nao.