Proverbs 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kupata hekima na nidhamu, kwa kufahamu maneno ya busara,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Methali hizi zawapatia watu hekima na nidhamu; zawafanya waelewe maneno ya busara,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wajue kutambua maneno ya utambuzi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zitawawezesha watu kujua hekima na mafundisho, na kufahamu misemo yenye maana kubwa.