Proverbs 1:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, asiangalie mtu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna ye yote aliyekubali niliponyosha mkono wangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, wala hakuna aliyeangalia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa nimewaita mkakataa kusikiliza, nimewapungia mkono mje mkakataa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa niliwaita, mkakataa kunisikia, kwa kuwa niliukunjua mkono wangu, lakini hakuwako aliyeuangalia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, asiangalie mtu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Nimewaita nanyi mumekataa kusikiliza, nimewanyooshea mukono mukuje nanyi hamukujali,