Proverbs 1:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki janga litakapowapata:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga litakapowapata,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga litawapata:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nami pia nitayachekelea maafa yenu, nitawadhihaki mnapokumbwa na hofu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo mimi nami nitacheka, mkiangamia, nitawasimanga, mastuko yatakapowajia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nami nitacheka siku ya msiba wenu, Nitadhihaki hofu yenu ifikapo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hiyo, woga utakapowapata kama zoruba, hasara yenu itakapowatokea kama upepo mukali, taabu na huzuni vitakapowapata, nitachekelea hasara yenu na kuwasimanga.