Proverbs 1:27 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hofu itakapowakumba kama tufani, maafa yenu yatakapowavamia kama kimbunga, wakati udhia na dhiki vitakapowapata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
janga litakapowapata kama tufani, maafa yatakapowazoa kama upepo wa kisulisuli, dhiki na taabu zitakapowalemea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hofu yenu ifikapo kama tufani, Na msiba wenu ufikapo kama kisulisuli, Dhiki na taabu zitakapowafikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hofu itakapowakumba kama tufani, maafa yenu yatakapowavamia kama kimbunga, wakati udhia na dhiki vitakapowapata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati janga litakapowapata kama tufani, wakati maafa yatakapowazoa kama upepo wa kisulisuli, wakati dhiki na taabu zitakapowalemea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati janga litawapata kama tufani, wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, wakati dhiki na taabu zitawalemea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hofu yenu ifikapo kama tufani, Na msiba wenu ufikapo kama kisulisuli, Dhiki na taabu zitakapowafikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hofu itakapowakumba kama tufani, maafa yenu yatakapowavamia kama kimbunga, wakati udhia na dhiki vitakapowapata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hayo mastuko yatawajia kama mvua yenye umeme, nao mwangamizo utawatukia kama upepo wa kilazoni, nayo masongano na mahangaiko yatawajia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hofu yenu ifikapo kama tufani, Na msiba wenu ufikapo kama kisulisuli, Dhiki na taabu zitakapowafikia.