Proverbs 1:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo ndipo mtakaponiita lakini sitaitika; mtanitafuta kwa bidii lakini hamtanipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo ndipo mtakaponiita lakini sitaitika; mtanitafuta kwa bidii lakini hamtanipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu, watanitafuta lakini hawatanipata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo ndipo mtakaponiita lakini sitaitika; mtanitafuta kwa bidii lakini hamtanipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, watakaponiita, lakini sitawaitikia, watanitafuta kwa bidii tangu asubuhi, lakini hawataniona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mutaniita lakini sitaitika; mutanitafuta kwa bidii lakini hamutanipata.