Proverbs 1:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
waje kuonyeka, wapate akili, tena wapate wongofu na mashauri mema yaongokayo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zitawafundisha watu matendo ya hekima, haki, usawa, na sheria ya Mungu.