Proverbs 1:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, na kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, nako kujikalia tu kwao wapumbavu kutawaangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wajinga wanajiua kwa kiburi chao, wapumbafu wanajiangamiza kwa kufanikiwa kwao.