Proverbs 1:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kila anisikilizaye atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kila anisikilizaye atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini ye yote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kila anisikilizaye atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini atakayenisikia atakaa na kutulia, atatengemana pasipo kuona kibaya kitakachomstusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali kila anisikilizaye atakaa salama, Naye atatulia bila kuogopa mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mutu anayenisikiliza atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”