Proverbs 1:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwapatia wajinga werevu na vijana maarifa na hadhari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwapatia wajinga werevu na vijana maarifa na hadhari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na tahadhari;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwapatia wajinga werevu na vijana maarifa na hadhari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
waerevushe wajinga, nao wavulana wawajulishe kuwaza mambo mioyoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zitawaerevusha wajinga, zitawapa vijana maarifa na akili.