Proverbs 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye hekima azisikie na kuongeza elimu yake, naye mwenye busara apate mwongozo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye hekima azisikie na kuongeza elimu yake, naye mwenye busara apate mwongozo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye hekima azisikie na kuongeza elimu yake, naye mwenye busara apate mwongozo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwerevu wa kweli ayasikie, auongeze ujuzi wake, naye mtambuzi ajipatie wongozi mwema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye hekima akizisikiliza, zitamwongezea elimu; na mwenye ufahamu zitamupatia ujuzi.