Proverbs 1:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu aelewe methali na mifano, maneno ya wenye hekima na vitendawili vyao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu aelewe methali na mifano, maneno ya wenye hekima na vitendawili vyao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu aelewe methali na mifano, maneno ya wenye hekima na vitendawili vyao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
atambue mifano na vitendawili, hata maneno ya werevu wa kweli na mafumbo yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataweza kuelewa mezali na maana iliyofichwa, watayaelewa maneno ya wenye hekima na vitendawili vyao.