Proverbs 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu ni chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA ndiyo chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa ujuzi, lakini wajinga huubeza werevu wa kweli kwa kukataa kuonyeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe ni musingi wa maarifa, lakini wapumbafu wanazarau hekima na mafundisho.