Proverbs 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuzo la mtu mwema ni uhai, lakini mwovu huishia katika dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu ni dhambi na mauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kazi yake mwenye haki huuelekea uzima; Mazao ya wabaya huuelekea dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuzo la mtu mwema ni uhai, lakini mwovu huishia katika dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kazi yake mwenye haki huuelekea uzima; Mazao ya wabaya huielekea dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuzo la mtu mwema ni uhai, lakini mwovu huishia katika dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kazi yake mwongofu humwelekeza penye uzima, lakini mapato yake asiyemcha Mungu humkosesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kazi yake mwenye haki huuelekea uzima; Mazao ya wabaya huuelekea dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushahara wa mutu wa haki ni uzima, lakini mapato ya mwovu ni katika zambi.