Proverbs 10:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayekubali maonyo anaelekea kwenye uhai, lakini anayekataa kuonywa amepotoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima, lakini yeyote anayepuuza maonyo hupotosha wengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima; Bali yeye aachaye maonyo hukosa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayekubali maonyo anaelekea kwenye uhai, lakini anayekataa kuonywa amepotoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima, lakini ye yote anayepuuza maonyo hupotosha wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima, lakini yeyote anayepuuza maonyo hupotosha wengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima; Bali yeye aachaye maonyo hukosa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayekubali maonyo anaelekea kwenye uhai, lakini anayekataa kuonywa amepotoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aangaliaye akikanywa yumo katika njia ya kwenda uzimani, lakini akataaye maonyo hujipoteza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akubaliye kurudiwa huwa katika njia ya uzima; Bali yeye aachaye maonyo hukosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayekubali kufundishwa anaelekea kwenye uzima, lakini anayekataa kuonywa amepotoka.