Proverbs 10:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata, kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata; kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiyemcha Mungu anayoyaogopa, ndiyo yanayomjia, lakini waongofu hupewa wayatakayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitu mutu mwovu anachoogopa ndicho kitakachomupata, lakini kitu mwenye haki anachotamani ndicho atakachopewa.