Proverbs 10:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ilivyo siki kwa meno au moshi machoni, ndivyo alivyo mvivu kwa bwana wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama siki menoni, na kama moshi machoni, Ndivyo alivyo mtu mvivu kwao wamtumao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ilivyo siki kwa meno au moshi machoni, ndivyo alivyo mvivu kwa bwana wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama siki menoni, na kama moshi machoni, Ndivyo alivyo mtu mvivu kwa hao waliomwajiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ilivyo siki kwa meno au moshi machoni, ndivyo alivyo mvivu kwa bwana wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama siki inavyoyatendea meno na kama moshi unavyoyatendea macho, ndivyo, mvivu anavyowatendea waliomtuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama siki menoni, na kama moshi machoni, Ndivyo alivyo mtu mvivu kwao wamtumao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile siki inavyokuwa kwa meno au moshi ndani ya macho, ndivyo muvivu anavyokuwa kwa bwana wake.