Proverbs 10:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumcha Bwana huziongeza siku za kuwapo, lakini miaka yao wasiomcha Mungu hukatwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe kunarefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.