Proverbs 10:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia ya Mwenyezi Mungu ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia ya Bwana ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia ya BWANA ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia ya bwana ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia ya BWANA ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia ya Bwana ni ngome yake amchaye Mungu, lakini ni mwangamizo wao wafanyao maovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia ya BWANA ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni kimbilio la watu wenye mwenendo sawa, lakini ataangamiza watenda maovu.