Proverbs 10:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hawaachi waadilifu wapate njaa, lakini huzipinga tamaa za waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana hatamwacha mwongofu, afe kwa njaa, lakini tamaa zao wasiomcha huzikumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe hawaachi wenye haki wapate njaa, lakini anapinga tamaa za waovu.