Proverbs 11:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mizani ya hadaa ni chukizo kwa Bwana; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huchukia sana mizani za udanganyifu, bali vipimo sahihi ni furaha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mizani ya kudanganyia humtapisha Bwana, lakini mawe ya sawasawa ya kupimia humpendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mizani ya hadaa ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mizani danganyifu ni chukizo kwa Yawe, lakini matumizi ya vipimo vya haki ni furaha kwake.