Proverbs 11:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye nia mbaya ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini wenye mwenendo mwema ni furaha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye kuhalifu moyoni ni chukizo kwa Bwana; Walio wakamilifu katika njia zao humpendeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye nia mbaya ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini wenye mwenendo mwema ni furaha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye uhalifu moyoni ni chukizo kwa BWANA; Walio wakamilifu katika njia zao humpendeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye nia mbaya ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini wenye mwenendo mwema ni furaha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye mioyo mapotovu humtapisha Bwana, lakini washikao njia zisizo za ukosaji humpendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye kuhalifu moyoni ni chukizo kwa BWANA; Walio wakamilifu katika njia zao humpendeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye nia mbaya ni chukizo kwa Yawe, lakini wenye mwenendo mukamilifu ni furaha yake.