Proverbs 11:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika mwovu hataepa kuadhibiwa, lakini waadilifu wataokolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, bali wenye haki watakuwa huru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika, mtu mwovu hatakosa adhabu; Bali wazao wa wenye haki wataokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika mwovu hataepa kuadhibiwa, lakini waadilifu wataokolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, bali wale wenye haki watakuwa huru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, bali wenye haki watakuwa huru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika, mtu mwovu hatakosa adhabu; Bali wazao wa wenye haki wataokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika mwovu hataepa kuadhibiwa, lakini waadilifu wataokolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingawa wapeane mikono, mbaya hana budi kupatilizwa, lakini wazao wao waongofu watapona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika, mtu mwovu hatakosa adhabu; Bali wazao wa wenye haki wataokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika mwovu hataepuka kuazibiwa, lakini wenye haki wataokolewa.