Proverbs 11:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayetegemea mali zake ataanguka, lakini mwadilifu atastawi kama jani bichi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote ategemeaye utajiri wake ataanguka, bali mwenye haki atastawi kama jani bichi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Azitegemeaye mali zake ataanguka; Mwenye haki atasitawi kama jani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayetegemea mali zake ataanguka, lakini mwadilifu atastawi kama jani bichi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote ategemeaye utajiri wake ataanguka, bali mwenye haki atastawi kama jani bichi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote ategemeaye utajiri wake ataanguka, bali mwenye haki atastawi kama jani bichi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Azitegemeaye mali zake ataanguka; Mwenye haki atasitawi kama jani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayetegemea mali zake ataanguka, lakini mwadilifu atastawi kama jani bichi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Azitumainiye mali zake huangushwa nazo, lakini waongofu huchapuka kama majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Azitegemeaye mali zake ataanguka; Mwenye haki atasitawi kama jani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayetegemea mali zake ataanguka, lakini mwenye haki atastawi kama jani bichi.