Proverbs 11:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huangamizwa na hila yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unyofu wa watu wema huwaongoza, upotovu wa wenye hila huwaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utawa wao wanyokao mioyo huwaongoza, lakini waliomwacha Mungu upotovu wao huwaangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukamilifu wa watu wa usawa unawaongoza. Upotovu wa wadanganyifu unawaangamiza.