Proverbs 11:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa mwadilifu hupata tuzo hapa duniani, hakika mwovu na mwenye dhambi atapatilizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, si zaidi sana mtu asiyemcha Mungu, na mwenye dhambi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mwenye haki atalipwa duniani; Basi mwovu na mkosaji si mara nyingi zaidi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa mwadilifu hupata tuzo hapa duniani, hakika mwovu na mwenye dhambi atapatilizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, si zaidi sana wasiomcha Mungu na wenye dhambi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa, mwenye haki atalipwa duniani; Je, mwovu na mkosaji hawatalipwa mara nyingi zaidi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa mwadilifu hupata tuzo hapa duniani, hakika mwovu na mwenye dhambi atapatilizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Mwongofu hupata mshahara wake katika nchi hii, Tena itakuwaje? Asiyemcha Mungu na mkosaji asilipishwe zaidi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mwenye haki atalipwa duniani; Basi mwovu na mkosaji si mara nyingi zaidi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mwenye haki anapata malipo hapa katika dunia, hakika mwovu na mwenye zambi watalipwa!