Proverbs 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu wa watu wanyofu huinyosha njia yao, lakini waovu huanguka kwa uovu wao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyo nyofu, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haki yake mtu mkamilifu itamwongoza njia yake; Bali mtu mwovu ataanguka kwa uovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu wa watu wanyofu huinyosha njia yao, lakini waovu huanguka kwa uovu wao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki yake mtu mkamilifu itamwongoza njia yake; Bali mtu mwovu ataanguka kwa uovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu wa watu wanyofu huinyosha njia yao, lakini waovu huanguka kwa uovu wao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu wao wamchao Mungu huzinyosha njia zao, lakini asiyemcha Mungu ataangushwa na uovu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haki yake mtu mkamilifu itamwongoza njia yake; Bali mtu mwovu ataanguka kwa uovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki ya watu wakamilifu inanyoosha njia yao, lakini waovu wanaanguka kwa uovu wao wenyewe.