Proverbs 11:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu wa wanyofu huwaokoa na hatari, lakini wafitini hunaswa kwa tamaa zao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu wa wanyofu huwaokoa na hatari, lakini wafitini hunaswa kwa tamaa zao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haki ya wanyofu huwaokoa, bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu wa wanyofu huwaokoa na hatari, lakini wafitini hunaswa kwa tamaa zao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu wao wanyokao mioyo utawaponya, lakini waliomwacha Mungu watanaswa na tamaa zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki ya watu wa usawa inawaokoa na hatari, lakini wafitini wananaswa kwa tamaa zao wenyewe.