Proverbs 11:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matumaini yaliyo katika wanadamu hufa pamoja nao; ahadi zote za uwezo wao hubatilika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake lapotea; Na matumaini ya uovu huangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka, yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake linapotea; Na matumaini ya uovu huangamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu asiyemcha Mungu anapokufa, kingojeo chake hupotea, nayo matumaini yao wapotovu hupotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake lapotea; Na matumaini ya uovu huangamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwovu akikufa, tumaini lake nalo linatoweka. Tumaini la asiyemwogopa Mungu ni la bure.