Proverbs 11:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwenye haki huokolewa kutoka katika taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu, naye mtu mwovu huingia humo badala yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mnyofu huokolewa katika shida, na mwovu huingia humo badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu hutolewa katika masongano, lakini asiyemcha Mungu hutiwa mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu wa haki anaokolewa katika shida, na mwovu anaingia mule kwa pahali pake.