Proverbs 12:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkulima mwenye bidii ana chakula tele, lakini afuataye mambo yasiyofaa hana akili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi hana ufahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkulima mwenye bidii ana chakula tele, lakini afuataye mambo yasiyofaa hana akili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye alimaye ardhi yake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi hana ufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkulima mwenye bidii ana chakula tele, lakini afuataye mambo yasiyofaa hana akili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alilimiaye shamba lake hushiba vilaji, lakini akimbiliaye mambo yaliyo ya bure amepotelewa na akili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi hana ufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulimaji mwenye bidii ana chakula tele, lakini anayefuata mambo yasiyofaa hana akili.