Proverbs 12:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutokana na tunda la midomo yao, watu hujazwa na mambo mema, na kazi ya mikono yao huwaletea thawabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu hushiba vema mazao ya kinywa chake, mikono ya mtu iliyoyafanya, humrudia mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anafanikiwa kutokana na maneno yake kama vile anavyopata matokeo ya kazi za mikono yake.